Je, Klabu ya Simba ya Tanzania kulivuka zimwi la ‘Mwakarobo’ leo?

Simba SC imewahi kufika robo fainali ya mashindano ya Afrika mara nane, lakini imefanikiwa kuvuka hatua ya robo fainali mara mbili tu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *