G-55 na No Reform No Election zinavyoiweka CHADEMA njia panda ya kisiasa

“No Reforms, No Election” inalenga kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka huu, mpaka kufanyike marekebisho makubwa ya mifumo na sheria za uchaguzi, kwa kile inachodai sheria na mifumo ya uchaguzi iliyopo sasa inaipendelea zaidi chama tawala.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *