Mjumbe wa Baraza la Wanavyuoni Wataalamu ambaye pia ni Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amegusia jinai za kutisha zinazoendelea kufanywa na Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Ghaza na kusisitiza kwambaa, kuna udharura kwa wimbi la hasira za walimwengu liukumbe utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake.
Related Posts
Utawala wa Kizayuni; muuaji wa 70% ya waandishi wa habari duniani
Kamati ya Kulinda Waandishi wa Habari nchini Marekani sambamba na kutangaza kuwa, idadi kubwa ya waandishi wa habari waliuawa duniani…
Mamia wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la RSF kwenye kambi ya Zamzam
Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan na mashirika ya misaada ya kibinadamu yamesema kuwa mamia ya watu wameuawa na…
Iran yaishambulia Israel kwa balestiki: Je, makombora haya ni hatari kiasi gani?
Iran yaishambulia Israel kwa balestiki: Je, makombora haya ni hatari kiasi gani? Kuanzia Sajjil hadi Sahab, Iran ina aina mbalimbali…