Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa hatua ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa dhidi yake na kueleza kwamba kulitumia kisiasa suala la haki za binadamu ni sababu muhimu ya kupoteza imani kwaa taasisi hiyo na imesisitiza kuwa, nchi zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni katika mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ghaza hazina ustahiki wa kutoa madai ya kutetea haki za binadamu.
Related Posts
NBC: Trump amtaka Zelensky ampatie umiliki wa asilimia 50 wa madini adimu ya Ukraine
Kwa mujibu wa maafisa wanne wa Marekani, utawala wa Trump umependekeza kwa Ukraine kwamba iwapo nchi hiyo itaipatia Marekani asilimia…
Kwa mujibu wa maafisa wanne wa Marekani, utawala wa Trump umependekeza kwa Ukraine kwamba iwapo nchi hiyo itaipatia Marekani asilimia…
Al Houthi: Tupo tayari kutekeleza oparesheni dhidi ya Israel iwapo haitaruhusu misaada kuingia Gaza
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amethibitisha msimamo wa harakati hiyo kuhusu muhula walioutoa kwa Israel ili kuruhusu misaada…
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amethibitisha msimamo wa harakati hiyo kuhusu muhula walioutoa kwa Israel ili kuruhusu misaada…
Mpasuko Israel, Smotrich ajiondoa katika utawala wa Netanyahu
Waziri wa Fedha wa utawala haramu wa Israel, Bezalel Smotrich, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa wake, jambo ambalo linaongeza matatizo ndani…
Waziri wa Fedha wa utawala haramu wa Israel, Bezalel Smotrich, ametangaza kujiuzulu kutoka wadhifa wake, jambo ambalo linaongeza matatizo ndani…