Huyu ndiye Panzi mzalendo Tanzania? mdudu wa kipekee mwenye rangi za bendera ya nchi

Panzi huyu amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na rangi zake asilia zenye kufanana za zile za bendera ya Tanzania