Shirika la kutetea haki za binadamu la US lazilaumu nchi za Magharibi kwa ‘kufanya mauaji ya kimbari’ huko Gaza

Kundi la kutetea haki za binadamu lenye makao yake makuu nchini Marekani limeikosoa Marekani, Israel, Canada na nchi nyingine za Magharibi kwa kuhusika na “mauaji ya kimbari” ya watu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *