Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza ameulaumu utawala wa Kizayuni Israel kwa kuwazuia kuingia, kuwakamata na kisha kuwatimua wabunge wawili wa chama tawala cha nchi hiyo cha Leba katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Related Posts
Ansarullah ya Yemen: Marekani haina haki ya kuzihukumu nchi zingine
Harakati ya Ansarullah ya Yemen iimetoa radiamali kwa hatua ya Marekani ya kuiweka Yemen katika orodha ya magaidi na kubainisha…

Iran: Tunapinga mpango wowote wa kufukuzwa Wapalestina Gaza
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad Bagher Ghalibaf amesema kuwa Tehran inapinga vikali na kulaani…

Yemen yaonya Marekani, Israel: ‘Kinachokuja ni kikubwa zaidi’
Harakati ya muqawama ya watu wa Yemen, Ansarullah, imeapa kwamba nchi hiyo itaongeza operesheni zake dhidi ya ngome za Marekani…