Jeshi la Somalia laua magaidi 80 wa Al Shabab

Vikosi vya usalama vya Somalia vimewaua zaidi ya magaidi 80 wa al-Shabaab, wakiwemo vinara waandamizi wa kundi hilo, katika operesheni za wiki nzima dhidi ya kundi hilo lenye mafungamano na mtandao wa kigaidi al-Qaeda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *