Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limemuongezea Francesca Albanese muda wa kuhudumu kama Ripota Maalumu wa hali ya haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu kwa miaka mitatu zaidi, licha ya upinzani mkali wa makundi na nchi kadhaa zinazouunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, ikiwemo Marekani.
Related Posts
Hizbullah: Muqawama uliilazimisha Israel kukubali usitishaji vita
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah amesema Israel ilikubali kusitisha mapigano na Lebanon baada ya kupata vipigo vikali…
Vita vya Israel vyaacha mayatima 36,000 na wajane 14,000
Idadi ya watoto wa Kipalestina walioachwa yatima kutokana na vita vya siku 471 vya mauaji ya kimbari ya Israel dhidi…

Marekani kuchelewesha msaada wa kijeshi kwa Ukraine – CNN
Marekani kuchelewesha msaada wa kijeshi kwa Ukraine – CNNPentagon haina silaha za kutosha kuhifadhi mahitaji ya Kiev, ripoti inasema Uhaba…