Mkuu wa IRGC: Iran inazijua fomyula za vita, haitarudi hata ‘hatua moja’ nyuma kumkabili adui

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imejifunza fomyula za kumshindia adui na haitarudi nyuma hata “hatua moja” endapo itaandamwa na vitisho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *