Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, mjasiriamali wa teknolojia aliyeweza kuwa na uhusiano na na kuingia kwa njia ya kipekee katika ofisi za juu zaidi za mamlaka ya kisiasa. BBC ilizungumza na baba yake Musk, Errol, ili kupata ufahamu kuhusu maisha ya utotoni ya Elon, na jinsi maisha hayo yalivyomuandaa kuwa mtu ambaye wengine wanamuita “rais asiye rasmi wa Marekani”.
Related Posts

Kiongozi Muadhamu akutana na familia za mashahidi wa uovu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo amekutana na familia za mashahidi wa Jeshi la Ulinzi la Anga la Jamhuri…
Visa ya dhahabu ya Trump ni nini na inafanyaje kazi?
Bunge la Marekani halijaamua sifa za uraia wa Marekani, lakini Trump anasema “visa ya dhahabu” hazitahitaji idhini ya Congress. Post…

ٌWanajeshi 110 wa Israel wameangamizwa tangu Tel Aviv ianzishe mashambulizi ya nchi kavu dhidi ya Lebanon
Idara yha Oparesheni ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon imetangaza kuwa, hadi sasa wanajeshi 110 wa utawala wa Kizayuni wa…