Katika muendelezo wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na ulazima wa Ulimwengu wa Kiislamu kuzingatia hali ya Ghaza, Ali Akbar Velayati, Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Mwamko wa Kiislamu ametoa taarifa ya kulaani hujuma za kinyama za utawala vamizi wa Kizayuni dhidi ya wananchi wanaodhulumiwa wa Ghaza na wa kusini mwa Lebanon.
Related Posts
Maiti 30 zaopolewa mtoni baada ya ndege ya abiria kugongana na helikopta Marekani
Kwa akali miili 30 imetolewa katika maji ya Mto Potomac kufuatia ajali ya kugongana ndege moja ya abiribia na helikopta…
Kwa akali miili 30 imetolewa katika maji ya Mto Potomac kufuatia ajali ya kugongana ndege moja ya abiribia na helikopta…
BBC yashinikizwa baada ya kufuta filamu kuhusu watoto wa Gaza
Watayarishi wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Uingereza wamewataka wabunge wa Uingereza kuwahoji viongozi wa BBC kuhusu uamuzi wa…
Watayarishi wa vipindi vya televisheni na filamu nchini Uingereza wamewataka wabunge wa Uingereza kuwahoji viongozi wa BBC kuhusu uamuzi wa…
Wapalestina waanza kurejea makwao baada ya kuanza kutekelezwa usitishaji vita Gaza
Maelfu ya wakimbizi wa ndani wa Gaza walianza kurejea makwao asubuhi ya jana Jumapili baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya…
Maelfu ya wakimbizi wa ndani wa Gaza walianza kurejea makwao asubuhi ya jana Jumapili baada ya kuanza kutekelezwa makubaliano ya…