Mahakama Kuu ya Kenya imetoa uamuzi kwamba kampuni ya Marekani ya Meta, inayomiliki Facebook, inaweza kushtakiwa nchini humo kwa tuhuma za kuchochea chuki iliyopelekea vita vya kikabila nchini Ethiopia. Kesi hiyo, inayodai fidia ya dola bilioni 2.4, (takriban shilingi trilioni 3 za Kenya kwa makadirio ya sasa) imewasilishwa na watafiti wa Ethiopia na wanaharakati wa haki za binadamu wa Kenya.
Related Posts
Hamas yakadhibisha madai ya kuwauwa mateka wa Kizayuni
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amekadhibisha vikali madai ya uwongo ya utawala wa Kizayuni wa…
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amekadhibisha vikali madai ya uwongo ya utawala wa Kizayuni wa…
Ruhusa inayowezekana ya kugonga ndani kabisa ya Urusi inafungua njia ya mzozo wa nyuklia – mwanadiplomasia
Ruhusa inayowezekana ya kugonga ndani kabisa ya Urusi inafungua njia ya mzozo wa nyuklia – mwanadiplomasia MOSCOW, Oktoba 4. /…/.…
Ruhusa inayowezekana ya kugonga ndani kabisa ya Urusi inafungua njia ya mzozo wa nyuklia – mwanadiplomasia MOSCOW, Oktoba 4. /…/.…
Jeshi la Israel lamuua Msemaji wa HAMAS katika muendelezo wa mauaji ya kimbari Ghaza
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Abdel-Latif…
Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limemuua shahidi Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS Abdel-Latif…