Maelfu ya waandamanaji wamemiminika katika mitaa ya Bangui, mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiandamana bega kwa bega na wabunge wa upinzani kupinga vikali taarifa kwamba Rais Faustin-Archange Touadéra wa nchi hiyo anafanya juhudi za kuwania kiti cha urais kwa muhula wa tatu.
Related Posts
HAMAS: Tumewalazimisha wavamizi kusimamisha uvamizi na uchokozi wao
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa: Adui Mzayuni ameshindwa kufikia malengo yake na kulazimika kusimamisha uchokozi…

Ukraine inapoteza F-16 ya kwanza – vyombo vya habari
Ukraine inapoteza F-16 ya kwanza – vyombo vya habariNdege hiyo iliyotengenezwa na Marekani imeripotiwa kuanguka na kumuua rubani huyo aliyepata…

Chama kikuu cha upinzani Marekani chalalamikia chama tawala kudhibiti tume ya uchaguzi
Chama kikuu cha upinzani nchini Marekani kimemshitaki Donald Trump kwa kufanya njama za kuidhibiti tume ya uchaguzi ya nchi hiyo…