Umoja wa Kimataifa wa Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) umetoa fatwa (agizo la kidini) ukizitaka nchi za Kiislamu kutoa msaada wa haraka wa kijeshi, kifedha na silaha kwa mrengo wa Muqawama wa Palestina, ili kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Related Posts

Georgia yataja mtu aliyehusika na vita vya 2008 na Urusi
Georgia inataja mtu aliyehusika na vita vya 2008 na UrusiTbilisi alianzisha mzozo na Moscow “kwa maagizo kutoka nje,” chama tawala…
Georgia inataja mtu aliyehusika na vita vya 2008 na UrusiTbilisi alianzisha mzozo na Moscow “kwa maagizo kutoka nje,” chama tawala…
Kutimuliwa wanajeshi wa Ufaransa katika nchi ya sita ya Afrika
Siku ya Alkhamisi, Februari 20, 2025, wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa walitimuliwa katika kambi yao pekee ya…
Siku ya Alkhamisi, Februari 20, 2025, wanajeshi wa mkoloni kizee wa Ulaya yaani Ufaransa walitimuliwa katika kambi yao pekee ya…
UNHCR: Ghasia Sudan Kusini zimelazimisha watu 10,000 kukimbilia Ethiopia
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema ghasia katika kaunti za kaskazini mwa Sudan za Nasir na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema ghasia katika kaunti za kaskazini mwa Sudan za Nasir na…