Vikosi vya Ulinzi vya Yemen (YAF) vimefanya operesheni ya kijeshi kulenga eneo la jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Yafa kwa kutumia ndege isiyo na rubani ya Yaffa iliyotengenezwa ndani ya Yemen, na kuiangusha pia ndege isiyo na rubani ya Marekani aina ya Giant Shark F360 katika Mkoa wa Sa’daa.
Related Posts
Chicago yamuenzi mtoto Muislamu Mpalestina wa miaka 6 aliyeuliwa kikatili kwa kuchomwa kisu mara 26
Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa…
Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa…
‘Kuripua Israel hospitali pekee ya matibabu ya saratani Ghaza ni ugaidi wa wazi wa kiserikali’
Kitendo cha jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuiripua na kuibomoa kikamilifu hospitali pekee ya matibabu ya maradhi…
Kitendo cha jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel cha kuiripua na kuibomoa kikamilifu hospitali pekee ya matibabu ya maradhi…
Jumanne, tarehe 28 Januari, 2025
Leo ni Jumanne 27 ya mwezi Rajab 1446 Hijria mwafaka na 28 Januari 2025. Post Views: 28
Leo ni Jumanne 27 ya mwezi Rajab 1446 Hijria mwafaka na 28 Januari 2025. Post Views: 28