Pezeshkian: Ikiwa Waislamu wataungana, maadui hawawezi kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu

Rais wa Iran amesema kuwa ikiwa Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, maadui hawatakuwa na uwezo wa kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu.