Katika ripoti yake ya karibuni kabisa, Benki Kuu ya Namibia imetangaza kwamba, seni la serikali ya nchi hiyo limepanda na kufikia dola bilioni 164 za Namibia (kama dola bilioni 8.8 za Kimarekani) mwishoni mwa Desemba 2024 suala ambalo linaashiria ongezeko la asilimia 10.2 la deni hilo tangu mwanzoni mwa mwaka wa fedha wa 2024/25.
Related Posts

Hezbollah yafanya shambulizi la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ya jeshi la Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Hezbollah yafanya shambulizi la ndege zisizo na rubani kwenye kambi ya jeshi la Israel katika maeneo yanayokaliwa kwa mabavu Msafara…
Hamas: Ukingo wa Magharibi utakuwa uwanja ujao wa vita kati ya Israel na muqawama
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa inaamini kuwa eneo la Ukingo wa Magharibi linalokaliwa kwa mabavu…

Jeshi la Ujerumani liko “miaka kumi nyuma” ya jeshi la Urusi – ripoti
Jeshi la Ujerumani “miaka kumi nyuma” ya Urusi – ripotiMifumo ya ulinzi wa anga ya Bundeswehr na hifadhi ya silaha…