Jeshi la Yemen limeitungua ndege isiyo na rubani ya MQ-9 ya Marekani wakati ilipokuwa inafanya mashambulizi ya kiuadui katika anga ya mkoa wa Hodeidah. Hiyo ni droni ya 17 kutunguliwa na Jeshi la Yemen kama sehemu ya vita vitakatifu vya Jihad vya kuwaunga mkono wananchi wa Ghaza.
Related Posts
Serikali ya CAR yatangaza mazungumzo na upinzani miezi michache kabla ya uchaguzi wa urais
Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza kuwa, inataka kufanya mazungumzo ya kisiasa na mrengo wa upinzani ikiwa ni…
Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imetangaza kuwa, inataka kufanya mazungumzo ya kisiasa na mrengo wa upinzani ikiwa ni…
Vifaru vya Kirusi vyatanda nkatika Mkoa wa Kursk
Mizinga ya Kirusi inachukua nafasi katika Mkoa wa KurskMoscow imekuwa ikipeleka vikosi vya ziada katika eneo la mpaka huku kukiwa…
Mizinga ya Kirusi inachukua nafasi katika Mkoa wa KurskMoscow imekuwa ikipeleka vikosi vya ziada katika eneo la mpaka huku kukiwa…

Ukraine inaweza kusababisha ‘Chernobyl nyingine’ – afisa wa zamani wa Jeshi la Marekani
Ukraine inaweza kusababisha ‘Chernobyl nyingine’ – afisa wa zamani wa Jeshi la Merika kwa RT Kuanguka kwa Kiwanda cha Nguvu…
Ukraine inaweza kusababisha ‘Chernobyl nyingine’ – afisa wa zamani wa Jeshi la Merika kwa RT Kuanguka kwa Kiwanda cha Nguvu…