Wimbi jipya la mashambulizi ya anga ya Israel kwenye Ukanda wa Gaza yamesababisha takriban watu 77 kuuawa shahidi, ikiwa ni siku mbaya zaidi kwa Wapalestina tangu utawala katili wa Israel uanze tena mauaji yake ya kijinai na ya umati kwenye ukanda huo uliozingiwa kila upande.
Related Posts
Jeshi la Iran laanza Luteka ya Zulfiqar-1403 pwani ya kusini
Vikosi tofauti vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimeanza awamu kuu ya mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya…
Yamkini Facebook ikatozwa faini ya dola bilioni 2 ikipatikana na hatia ya kuchochea vita
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa uamuzi kwamba kampuni ya Marekani ya Meta, inayomiliki Facebook, inaweza kushtakiwa nchini humo kwa tuhuma…
Iran: Nyuklia na kuondolewa vikwazo ndizo maudhui pekee za mazungumzo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Suala la nyuklia kwa maana ya kuhakikisha mradi wa nyuklia wa…