Bunge la Msumbiji kwa kauli moja limepaisha sheria ili kurejesha amani katika nchi hiyo ya kusini mwa Afrika kufuatia miezi kadhaa ya maandamano makubwa ya ghasia ya wananchi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais uliofanyika Oktoba 9. Watu takriban 360 walipoteza maisha katika maandamano hayo ya ghasia.
Related Posts
Meja Jenerali Bagheri: Majibu ya Iran kwa barua ya Marekani yametolewa kwa msingi wa mantiki na nguvu
Mkuu wa Majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran si mpenda vita, lakinii…
Mkuu wa Majeshi ya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran si mpenda vita, lakinii…
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…
Vikosi vya Urusi vinadhibiti makazi mawili katika Mkoa wa Kursk
Vikosi vya Urusi vinadhibiti makazi mawili katika Mkoa wa KurskKulingana na Meja Jenerali Apty Alaudinov, mstari mzima wa mbele katika…
Vikosi vya Urusi vinadhibiti makazi mawili katika Mkoa wa KurskKulingana na Meja Jenerali Apty Alaudinov, mstari mzima wa mbele katika…