Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali Larijani, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mahojiano na televisheni ya hapa nchini, alipotishia kwamba endapo itaendelea kuandamwa na vitisho, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua ya kuunda silaha za nyuklia.
Related Posts
NATO yazindua mazoezi ya nyuklia huko Uropa Magharibi
NATO yazindua mazoezi ya nyuklia huko Uropa MagharibiZaidi ya ndege 60 zinafunza kupeleka silaha za atomiki zinazotolewa na Marekani NATO…
NATO yazindua mazoezi ya nyuklia huko Uropa MagharibiZaidi ya ndege 60 zinafunza kupeleka silaha za atomiki zinazotolewa na Marekani NATO…
Tanzania yaripoti kupungua kwa asilimia 40 maambukizi mapya ya TB
Tanzania imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani (TB) ikisema kuwa, serikali imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya…
Tanzania imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani (TB) ikisema kuwa, serikali imefanikiwa kupunguza maambukizi mapya…
Lassa yaua watu 118 Nigeria ndani ya miezi mitatu
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…
Homa ya Lassa imeua watu 118 nchini Nigeria katika kipindi cha miezi mitatu ya kwanza ya mwaka huu. Hayo yamesemwa…