Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya kuhusiana na haki za binadamu na demokrasia nchini Pakistan”. Hayo yameelezwa katika tamko lililotolewa na chama cha siasa cha Norway Partiet Sentrum.
Related Posts
Iran yaanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Raia wa Iran leo wameanza sherehe za Alfajiri Kumi ili kuadhimisha mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu…
Wanajeshi wa Urusi wakomboa makazi ya Zoryanoye katika Jamhuri ya Watu wa Donetsk
Wanajeshi wa Urusi wakomboa makazi ya Zoryanoye katika Jamhuri ya Watu wa DonetskMifumo ya ulinzi ya anga ya Urusi pia…

Marekani yaidhinisha uuzaji wa silaha wa $20bn kwa Israel
Marekani yaidhinisha uuzaji wa silaha wa $20bn kwa IsraelKifurushi kipya cha silaha kinajumuisha makumi ya ndege za kivita, pamoja na…