Wacanada waanza “kumtia adabu” Trump, bidhaa za Marekani zasusiwa Canada

Kuongezeka himaya na uungaji mkono wa Wacanada kwa bidhaa za nyumbani kumeibua wasiwasi kwa makampuni ya bidhaa mbalimbali ya Marekani.