Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, mwaliko wa Hungary kwa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kuzuru nchi hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa, na Budapest inapaswa kumkamata na kumkabidhi kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
Related Posts
Umoja wa Mataifa: Watoto wa mwaka mmoja ni miongoni mwa waliobakwa Sudan
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watu wenye silaha wanabaka na kuwanyanyasa kingono watoto wenye umri…

Ukraine yaendelea na mashambulizi yake dhidi ya Urusi
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
Kuongezeka hatua za Trump dhidi ya vyuo vikuu na wanafunzi wanaowatetea Wapalestina
Katika muhula wake wa pili wa urais, Donald Trump, rais mpya wa Marekani kwa mara nyingine tena ameamua kutumia mtindo…