Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na viongozi wa nchi mbalimbali, akiwapongeza kwa mnasaba wa kusherehekea sikukuu ya Idul-Fitr. Amesisitiza ulazima wa kuimarishwa zaidi umoja na uhusiano wa kindugu baina ya nchi za Waislamu na ulazima wa kuzima njama za maadui.
Related Posts
MSF yatahadharisha kuhusu kasi kipindupindu Ethiopia; watu 31 wameaga dunia
Takriban watu 31 wapoteza maisha kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoenea kwa kasi nchini Ethiopia. Post Views: 8
Takriban watu 31 wapoteza maisha kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoenea kwa kasi nchini Ethiopia. Post Views: 8
Tunisia yatoa wito wa kufikishwa mahakamani maafisa wa Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza
Tunisia imetangaza kuwa, makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza hayapaswi kufunika jukumu la kuwafungulia mashtaka na kuwahukumu maafisa wa Kizayuni…
Tunisia imetangaza kuwa, makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza hayapaswi kufunika jukumu la kuwafungulia mashtaka na kuwahukumu maafisa wa Kizayuni…
Wakati anatumikia kifungo jela, Imran Khan ateuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya…
Waziri Mkuu wa zamani wa Pakistani Imran Khan aliyefungwa jela, ameteuliwa kuwania Tuzo ya Amani ya Nobel kwa “kazi aliyofanya…