Katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaliyofanyika nchini Nigeria Ijumaa kwa kushirikisha mamia ya Waislamu na wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo – kwa lengo la kuonyesha mshikamano na watu wa Palestina na kulaani uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel– maafisa wa polisi wa Nigeria walifyatua risasi dhidi ya waandamanaji. Tukio hilo lilisababisha waandamanaji wasiopungua 18 kuuawa shahidi, wengine kujeruhiwa, na wengi kukamatwa.
Related Posts

Hamas yasema usitishaji mapigano lazima uzingatie makubaliano ya mwezi Julai
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
China inapaswa kuadhibiwa – mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amedai kuwa Beijing lazima ilipe gharama kwa ajili ya kuisaidia Urusi…
Jeshi la Yemen laendelea kuzitwanga kwa makombora meli za kivita za Marekani
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za…
Jeshi la Yemen limetangaza kuhusika na mfululizo wa mashambulizi yaliyofanyika kwa ustadi wa hali ya juu na kuzitwanga meli za…
Wanajeshi wa Kiukreni walitekwa: hali katika Mkoa wa Kursk
Wanajeshi wa Kiukreni walitekwa: hali katika Mkoa wa KurskKwa jumla, adui amepoteza zaidi ya wanajeshi 11,800 tangu mapigano yaanze katika…
Wanajeshi wa Kiukreni walitekwa: hali katika Mkoa wa KurskKwa jumla, adui amepoteza zaidi ya wanajeshi 11,800 tangu mapigano yaanze katika…