Mahakama moja nchini Ufaransa jana Jumatatu ilimpata na hatia ya ubadhirifu, Marine Le Pen, aliyekuwa mgombea urais wa Ufaransa kwa mihula miwili na kiongozi wa chama cha National Rally (RN) chenye chuki dhidi ya Waislamu. Hukumu hiyo itaathiri mustakabali wake wa kisiasa, hasa kugombea katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa wa 2027.
Related Posts
UN: Hatua za kimataifa zichukuliwe dhidi ya ongezeko la ‘chuki dhidi ya Waislamu’
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wake juu ya “ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu”, akitoa…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ameelezea wasiwasi wake juu ya “ongezeko la chuki dhidi ya Waislamu”, akitoa…
Hamas yasisitiza: Watu wa Palestina watasalia imara katika ardhi yao
Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekariri upinzani wake dhidi ya matamshi yaliyotolewa Rais Donald Trump wa Marekani…
Harakati ya Mpambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekariri upinzani wake dhidi ya matamshi yaliyotolewa Rais Donald Trump wa Marekani…
Kuendelea kushtakiwa jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina
Gideon Sa’ar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala vamizi wa Israel ameshtakiwa kwa kutenda jinai za kivita katika Ukanda…
Gideon Sa’ar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala vamizi wa Israel ameshtakiwa kwa kutenda jinai za kivita katika Ukanda…