Gazeti la Marekani la National Interest limeuchambua mji mpya wa makombora wa Iran na kusisitiza kwamba, kufichuliwa mji huo huku hali ya wasiwasi ikiongezeka katika Bahari Nyekundu na Asia Magharibi, ni ujumbe kwa Marekani na maadui wa Iran.National Interest imekiri katika ripoti yake kwamba hifadhi ya makombora ya Iran imeongezeka kwa kiasi kikubwa katika muongo mmoja uliopita.
Related Posts
Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…

Mchezo wa Kursk wa Ukraine ulishindwa – Putin
Mchezo wa Kursk wa Ukraine ulishindwa – PutinMoscow itashughulika na “majambazi wa Kiukreni” ambao walijaribu kuvuruga eneo hilo, rais wa…
Mchezo wa Kursk wa Ukraine ulishindwa – PutinMoscow itashughulika na “majambazi wa Kiukreni” ambao walijaribu kuvuruga eneo hilo, rais wa…
Rais Pezeshkian: Iran haiko vitani na nchi yoyote
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa…