Mapema leo Jumatatu, katika kikao na viongozi wa serikali, mabalozi wa nchi za Kiislamu na matabaka tofauti ya wananchi wa Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Imam Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.
Related Posts
Taasisi ya Wanafikra ya Marekani: Trump hawezi kuishinda Ansarulllah ya Yemen
Taasisi ya Kutetea Demokrasia (FDD) nyenye makao yake makuu huko Washington DC imezungumzia kushindwa serikali ya Donald Trump katika kukabiliana…
Taasisi ya Kutetea Demokrasia (FDD) nyenye makao yake makuu huko Washington DC imezungumzia kushindwa serikali ya Donald Trump katika kukabiliana…
Milinganisho ya S-300 na Iskander-M: Hatari ya makombora ya balistiki ya Iran mikononi mwa Urusi.
Milinganisho ya S-300 na Iskander-M: Hatari ya makombora ya balistiki ya Iran mikononi mwa Urusi. Vyombo vya habari vya Magharibi…
Milinganisho ya S-300 na Iskander-M: Hatari ya makombora ya balistiki ya Iran mikononi mwa Urusi. Vyombo vya habari vya Magharibi…

Wanajeshi wa Kiukreni wajisalimisha: hali katika Mkoa wa Kursk
Wanajeshi wa Kiukreni wajisalimisha: hali katika Mkoa wa Kursk Kwa jumla, Kiev imepoteza hadi wafanyakazi 7,000 tangu mapigano yaanze katika…
Wanajeshi wa Kiukreni wajisalimisha: hali katika Mkoa wa Kursk Kwa jumla, Kiev imepoteza hadi wafanyakazi 7,000 tangu mapigano yaanze katika…