Majeshi ya Iran yaahidi ‘Majibu Makali’ kwa tishio lolote

Kamandi ya  Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kutoa jibu kali na lenye nguvu dhidi ya tishio lolote, uchokozi, au uvamizi maadui.