Baraza la Uratibu wa Tablighi ya Kiislamu la Iran limetoa taarifa ya kulaani ukandamizaji waliofanyiwa Waislamu wa Nigeria wakati wa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds na kuandika: “Ukandamizaji na kumwagwa damu za waandamanaji wa Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Nigeria na kuuawa shahidi kidhulma Waislamu 18 waliokuwa kwenye saumu ya Ramadhani kunaonesha hofu ya watawala wa Nigeria kuhusu mwamko wa Waislamuj na nafasi ya kiistratijia ya Siku ya Kimataifa ya Quds duniani.”
Related Posts
Pezeshkian: Hatuhitaji Magharibi kulinda usalama wa eneo hili
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Russia kwa kushirikiana vizuri zinaweza kufuata sera…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Russia kwa kushirikiana vizuri zinaweza kufuata sera…
Rais Pezeshkian: Iran iko tayari kufanya mazungumzo, lakini si “kwa gharama yoyote”
Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran imeshatangaza mara kadhaa kwamba iko tayari kufanya mazungumzo lakini haitafanya mazungumzo “kwa gharama yoyote ile”.…
Rais Masoud Pezeshkian amesema Iran imeshatangaza mara kadhaa kwamba iko tayari kufanya mazungumzo lakini haitafanya mazungumzo “kwa gharama yoyote ile”.…
Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU
Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja…
Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja…