Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani mashambulizi ya kijeshi ya mara kwa mara ya Marekani katika maeneo mbalimbali ya Yemen na kusema: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani huko Yemen sambamba na kushtadi mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na hujuma zake dhidi ya Lebanon na Syria, yanaonyesha namna Marekani inavyoshiriki katika uvunjaji sheria wa Israel na kwenda sambamba na utawala huo katika kueneza machafuko na hali ya mchafukoge katika eneo.
Related Posts
Jumatano, tarehe 26 Februari, 2025
Leo ni Jumatano 27 ya Sha’ban 1446 Hijria mwafaka na 26 Februari 2025. Post Views: 17
Leo ni Jumatano 27 ya Sha’ban 1446 Hijria mwafaka na 26 Februari 2025. Post Views: 17
Hamas: Vitisho vya Marekani vinatatiza zaidi hali ya mambo
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa: Vitisho vya Marekani vinapelekea tu hali ya mambo…
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa: Vitisho vya Marekani vinapelekea tu hali ya mambo…
Mtaalamu wa Zambia: Ushuru wa Trump utawadhuru zaidi Wamarekani
Mtaalamu mmoja wa masuala ya biashara, ujasiriamali na uwezekaji wa Zambia amesema uamuzi wa serikali ya Marekani wa kutoza ushuru…
Mtaalamu mmoja wa masuala ya biashara, ujasiriamali na uwezekaji wa Zambia amesema uamuzi wa serikali ya Marekani wa kutoza ushuru…