Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza nafasi muhimu ya Iran katika kuunga mkono kadhia ya Palestina ya kukombolewa kutoka kwa uchokozi na uvamizi wa Israel huku akiulaani vikali utawala wa Israel kwa ukatili wake katika eneo zima ambao unawezeshwa kwa kiasi kikubwa na uungaji mkono wa Marekani.
Related Posts
Israel yashambulia upya Gaza, yaua mamia ya Watoto na wanawake
Jeshi la utawal katili wa Israel limeua Wapalestina wasiopungua 350, ambao wengi wao ni wanawake na watoto, katika maeneo yote…
Jeshi la utawal katili wa Israel limeua Wapalestina wasiopungua 350, ambao wengi wao ni wanawake na watoto, katika maeneo yote…
Magharibi, Kiev aliangusha mpango wa Istanbul kwa sababu ya ‘kuishinda’ Urusi, lakini haikufaulu – Putin
Magharibi, Kiev aliangusha mpango wa Istanbul kwa sababu ya ‘kuishinda’ Urusi, lakini haikufaulu – PutinInasisitizwa kuwa Boris Johnson aliwaamuru Waukraine…
Magharibi, Kiev aliangusha mpango wa Istanbul kwa sababu ya ‘kuishinda’ Urusi, lakini haikufaulu – PutinInasisitizwa kuwa Boris Johnson aliwaamuru Waukraine…
Qatar: Inabidi UN itoe azimio la kuilazimisha Israel iheshimu usimamishaji vita Ghaza
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesisitiza kuwa jumuiya ya kimataifa inapaswa kutoa msaada unaohitajika wa kuzisaidia familia zilizoathirika…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesisitiza kuwa jumuiya ya kimataifa inapaswa kutoa msaada unaohitajika wa kuzisaidia familia zilizoathirika…