Kamanda wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Admeli Alireza Tangsiri amesema kwa mara nyingine tena kuwa, uwezo wa kijeshi wa Iran ni wa kipekee, huku akionya dhidi ya vitisho akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haiwezi kufanya mazungumzo na yoyote kuhusu maghala yake ya makombora.
Related Posts
Yemen: Tutatoa jibu la ‘kitaalamu na chungu’ kwa shambulio baya la Marekani
Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen limelaani shambulio baya la Marekani dhidi ya nchi hiyo kwa kuunga mkono Israel, na…
Licha ya vizuizi vya Israel Wapalestina 180,000 wamesali Msikiti wa Al-Aqsa mkesha wa Lailatul-Qadr
Waislamu Wapalestina wapatao 180,000 walisali Sala ya Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul-Muqaddas usiku wa kuamkia leo na kujiandaa…

Iran inakaribia kuwa na silaha za nyuklia – Mkuu wa Intel House wa Marekani
Iran karibu na silaha za nyuklia – Mkuu wa Intel House wa Marekani Tehran inaweza kuwa taifa la nyuklia mwishoni…