Katika Afrika Mashariki, wanawake mara nyingi hubeba mizigo inayolingana na asilimia 70% ya uzito wa miili yao juu ya vichwa vyao, kwa masaa au hata siku kadhaa. Utafiti unaonyesha kuwa wamebuni mbinu ya kuhifadhi nishati wanapotembea ili kupunguza juhudi za misuli zinazohitajika kubeba mizigo hiyo.
Related Posts

Kuanzia utekaji nyara hadi kuuawa watoto 17,000 na utawala wa Israel; ujumbe wa Twitter kuhusu Siku ya Kimataifa ya Watoto
Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto…
Parstoday- Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Ukanda wa Gaza umegeuka kuwa kaburi la watoto…

Hizbullah yalenga Tel Aviv, Haifa; yazindua kombora jipya lenye usahihi mkubwa
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeishambulia miji ya Tel Aviv na Haifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…
Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imeishambulia miji ya Tel Aviv na Haifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa…

Mauritius yazuia upatikanaji huduma za mitandao ya kijamii
Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii, siku chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu. Hatua hiyo imechuukuliwa huku mvutano…
Mauritius imezuia huduma za mitandao ya kijamii, siku chache tu kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu. Hatua hiyo imechuukuliwa huku mvutano…