Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria katika taarifa yake kuhusu kuuawa shahidi Abdel-Latif al-Qanoua Msemaji wa harakati hiyo katika shambulio la utawala wa Kizayuni na kutangaza kuwa: “Kuwalenga kwa masambulizi viongozi wa harakati ya Hamas na wasemaji wake kamwe hakuwezi kuvunja irada yetu.
Related Posts
Jumamosi, Mosi Februari, 2025
Leo ni Jumamosi Pili Shaaban 1446 Hijria mwafaka na Mosi Februari 2025 Miladia. Post Views: 22
Leo ni Jumamosi Pili Shaaban 1446 Hijria mwafaka na Mosi Februari 2025 Miladia. Post Views: 22
Kuchunguzwa matokeo ya usitishaji vita Ukanda wa Gaza
Baada ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kutangaza rasmi kukubali usitishaji vita na kuanza mchakato wa kuhitimisha…
Baada ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) kutangaza rasmi kukubali usitishaji vita na kuanza mchakato wa kuhitimisha…
Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi wa Afrika Mashariki (EAPCE’25) waanza Dar
Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha…
Makamu wa Raisi wa Tanzania, Dkt Philip Mpango amesema kuwa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, zinapaswa kutumia fedha…