Ndege ya Al-Burhan yatua Khartoum kwa mara ya kwanza baada ya kuanza vita, atangaza kufukuzwa RSF

Kamanda wa jeshi la Sudan, Abdel Fattah al-Burhan, alirejea Khartoum jana, Jumatano, Kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa mji huo, ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu uwanja huo ugeuke kuwa uwanja wa vita Aprili 2023.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *