Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kuonyesha mshikamano na Gaza na al-Quds wakati huu ambapo Israel, kwa uungaji mkono wa Marekani, inaendelea na vita vyake vya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina Gaza, mkabala wa kimya cha dunia.
Related Posts
Siku ya saba ya uvamizi wa Israel wa Ghaza; makumi wauawa na kujeruhiwa
Utawala wa wa Kizayuni wa Israel Israel unaendelea kufanya jinai na mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa…
Utawala wa wa Kizayuni wa Israel Israel unaendelea kufanya jinai na mashambulizi ya anga katika maeneo mbalimbali ya Ukanda wa…
Uwezekano wa kutokea vita katika eneo la Maziwa Makuu
Huku vikosi vya waasi wa M23 vikiendelea kusonga mbele katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kumeongeza hatari ya kutokea vita…
Huku vikosi vya waasi wa M23 vikiendelea kusonga mbele katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kumeongeza hatari ya kutokea vita…
Mufti wa Oman asisitiza kuunga mkono Wapalestina wanaodhulumiwa Gaza
Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali…
Mufti Mkuu wa Oman amewataka Waislamu wote na watu wanaopenda uhuru duniani kusaidia watu wanaodhulumiwa wa Gaza wanaoishi katika hali…