Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kutoza ushuru wa asilimia 25 kwa biashara yoyote na nchi zinazonunua mafuta na gesi ya Venezuela. Ameelezea ushuru huu kama jibu la kutumwa Marekani wanachama wa genge la uhalifu la “Tren de Aragua”.
Related Posts
AU yamtaka Trump atazame upya uamuzi wake wa kuiondoa Marekani katika shirika la WHO
Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano ulimtolea wito Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena uamuzi wake wa kuiondoa…
Umoja wa Afrika (AU) jana Jumatano ulimtolea wito Rais mpya wa Marekani, Donald Trump, kufikria tena uamuzi wake wa kuiondoa…
Ndege kadhaa za F-16 za Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine ziliripotiwa kuharibiwa kutokana na mashambulizi ya Kinzhal kwenye uwanja wa ndege huko Starokostiantyniv.
Ndege kadhaa za F-16 za Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine ziliripotiwa kuharibiwa kutokana na mashambulizi ya Kinzhal kwenye uwanja wa…
Ndege kadhaa za F-16 za Kikosi cha Wanajeshi cha Ukraine ziliripotiwa kuharibiwa kutokana na mashambulizi ya Kinzhal kwenye uwanja wa…
China: Kuwepo kwa ‘Mfumo wa Kambi Kadhaa’ duniani ni jambo lisiloweza kuepukika
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi ameashiria mabadiliko ya kimuundo yanayojiri katika mfumo wa kimataifa na kubainisha…
Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi ameashiria mabadiliko ya kimuundo yanayojiri katika mfumo wa kimataifa na kubainisha…