Waislamu Wapalestina wapatao 180,000 walisali Sala ya Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul-Muqaddas usiku wa kuamkia leo na kujiandaa kwa mkesha wa mwezi 27 Ramadhani unaokadiriwa kwamba unaweza ukawa Lailatul-Qadr, licha ya vizuizi vikali walivyowekewa na utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuingia msikitini humo.
Related Posts
Museveni apuuza uamuzi wa mahakama juu ya mahakama za kijeshi
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema serikali yake itaendelea kuwashtaki raia katika mahakama za kijeshi, licha ya Mahakama ya Juu…
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema serikali yake itaendelea kuwashtaki raia katika mahakama za kijeshi, licha ya Mahakama ya Juu…
Hamas yathibitisha kipaumbele cha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza juu ya mazungumzo
Hamas yathibitisha kipaumbele cha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza juu ya mazungumzoHarakati hiyo na washirika wake pia walisisitiza kwamba…
Hamas yathibitisha kipaumbele cha makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza juu ya mazungumzoHarakati hiyo na washirika wake pia walisisitiza kwamba…
EU: Trump ni janga baya zaidi kwa dunia kuliko hata Corona
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu…
Naibu wa Gavana wa Benki Kuu ya Umoja wa Ulaya amesema kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump amesababisha kukosekana utulivu…