Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito kwa wananchi wa Iran kuonyesha umoja na mshikamano wao wakati wa Siku ya Kimataifa ya Quds, akisisitiza kwamba kujitokeza kwa wingi wananchi katika siku hii kutaonyesha msaada usiotetereka wa Jamhuri ya Kiislamu kwa malengo ya ukombozi wa Palestina.
Related Posts
OIC yalaani njama za kuhamishwa kwa nguvu Wapalestina Ghaza
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha mjini Saudi Arabia na kulaani kwa…
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imetoa taarifa rasmi mwishoni mwa kikao chake cha mjini Saudi Arabia na kulaani kwa…
Karibu wagonjwa 1,200 zaidi wa kipindupindu wameripotiwa katika jimbo la White Nile, Sudan
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa kesi 1,197 za ugonjwa wa kipindupindu, vikiwemo vifo 83 vilivyosababishwa na ugonjwa huo…
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umeripoti kuwa kesi 1,197 za ugonjwa wa kipindupindu, vikiwemo vifo 83 vilivyosababishwa na ugonjwa huo…

Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwa
Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwaMkurugenzi Mtendaji wa Voentorg Vladimir Pavlov anakabiliwa na mashtaka ya ulaghai…
Mkuu wa kampuni ya ugavi ya Jeshi la Urusi akamatwaMkurugenzi Mtendaji wa Voentorg Vladimir Pavlov anakabiliwa na mashtaka ya ulaghai…