Ziad Al-Nakhala, Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ametoa hotuba kwa mnasaba wa maandalizi ya Siku ya Kimataifa ya Quds akiwapongeza mashahidi wa Operesheni Kimbunga cha al Aqsa na kusema: “Malengo yetu ni ya hali ya juu na adhama yetu ni kubwa. Wazayuni wauaji na washirika wao hawawezi kuvunja irada yetu, na tunazidi kuwa na nguvu. Muqawama wetu unaweka historia isiyosahaulika leo hii.”
Related Posts
Wanadiplomasia wakuu wa mataifa ya Kiislamu wanalaumu mauaji ya mkuu wa Hamas kwa Israeli
Wanadiplomasia wakuu wa mataifa ya Kiislamu wanalaumu mauaji ya mkuu wa Hamas kwa IsraeliBaraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje…
Mali: Tumemuangamiza kiongozi wa genge la kigaidi
Jeshi la Mali limetangaza kuwa limemuua kiongozi wa genge la kigaidi aliyekkuwa anaogoza vitendo vya kigaidi katikati mwa Mali. Post…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan: Mpango wa kuanzisha serikali nyingine mezaliwa ukiwa maiti
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Sudan amesema mpango wa makundi ya upinzani yakiongozwa na Rapid Support Forces…