Rais William Ruto wa Kenya amemkosoa hadharini aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Justin Muturi, akitaja kipindi chake cha uongozi kuwa “kisichofaa” katika kushughulikia masuala muhimu ya kisheria, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa Mfuko wa Wakfu wa Kiislamu. Kwa muda mrefu uanzishwaji wa mfuko huo umekuwa kilio cha Waislamu wa Kenya.
Related Posts
HAMAS: Muqawama wa watu wa Gaza umeipigisha magoti Israel
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, kusimama kidete watu wa Gaza na vikosi vya…

Iran inajiandaa kuishambulia Israel ‘katika siku zijazo’ – gazeti
Iran inajiandaa kuishambulia Israel ‘katika siku zijazo’ – gazetiIran inaripotiwa kuhamisha vifaa vyake vya kurushia makombora na imekuwa ikifanya mazoezi…

Hamas: Vitisho vya Marekani vinatatiza zaidi hali ya mambo
Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesisitiza kuwa: Vitisho vya Marekani vinapelekea tu hali ya mambo…