Sambamba na kushtadi mashambulizi ya anga na nchi kavu ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza; Shirika la Kimataifa la Oxfam limetangaza katika ripoti yake kuwa Israel kwa mpangilio maalumu inatumia njaa kama silaha ya vita dhidi ya raia wasio na hatia wa eneo hilo.
Related Posts
Sasa Trump ameelewa, HAMAS haimuogopi
Mchambuzi mmoja mashuhuri wa ulimwengu wa Kiarabu amesema: “Kulazimika Donald Trump kuomba kufanya mazungumzo ni matokeo ya kufeli na kukata…
Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tehran iko tayari kuzungumza na nchi za Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana…
Kwa nini Afrika Kusini inataka Marekani iwekewe vikwazo
Waziri wa Madini na Rasilimali za Petroli wa Afrika Kusini, Gwede Mantashe ametoa wito kwa nchi za Afrika kusimamisha mauzo…