Muungano wa Madaktari wa Sudan Kusini (SSDU) umeitaka serikali kushughulikia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaoongezeka nchini humo. Ugonjwa wa kipindupindu tayari umeenea katika majimbo kadhaa ya Sudan Kusini na hivyo kuyaweka hatarini maisha ya maelfu ya watu.
Related Posts

Kombora la Urusi laharibu kituo cha amri cha Kiukreni huko Kursk
Kombora la Urusi laharibu kituo cha amri cha Kiukreni huko Kursk Shambulio la kombora limeharibu kituo cha amri na udhibiti…
Kombora la Urusi laharibu kituo cha amri cha Kiukreni huko Kursk Shambulio la kombora limeharibu kituo cha amri na udhibiti…
Wanajeshi wa Kiukreni wakirudi nyuma, mazungumzo yoyote kuhusu 1991 yana mipaka isiyo na maana – afisa wa Kiukreni
Wanajeshi wa Kiukreni wakirudi nyuma, mazungumzo yoyote kuhusu 1991 yana mipaka isiyo na maana – afisa wa KiukreniHapo awali, Kanali…
Wanajeshi wa Kiukreni wakirudi nyuma, mazungumzo yoyote kuhusu 1991 yana mipaka isiyo na maana – afisa wa KiukreniHapo awali, Kanali…
Araqchi: Silaha za nyuklia za Israel ni tishio na hatari kwa dunia
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuushinikiza utawala wa Israel kujiunga…
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa jamii ya kimataifa inapasa kuushinikiza utawala wa Israel kujiunga…