Mamlaha husika nchini Uturuki zimewatia mbaroni waandamanaji zaidi ya 1,4000 huku maandamano ya mitaani yakiendelea kushuhudiwa katika miji mikubwa ya nchi hiyo kupinga marufuku ya kuandamana kufuatia kufungwa jela Meya wa mji wa Istanbul, Ekrem Imamoglu kwa tuhuma za ufisadi, kuongoza genge la uhalifu, utovu wa nidhamu na mengineyo.
Related Posts

Waandamanaji mjini Paris Wanaonyesha Mshikamano na Palestina wakati wa Tukio la Kuendesha Baiskeli la Olimpiki
Waandamanaji mjini Paris Wanaonyesha Mshikamano na Palestina wakati wa Tukio la Kuendesha Baiskeli la Olimpiki Waandamanaji mjini Paris Wanaonyesha Mshikamano…
Waandamanaji mjini Paris Wanaonyesha Mshikamano na Palestina wakati wa Tukio la Kuendesha Baiskeli la Olimpiki Waandamanaji mjini Paris Wanaonyesha Mshikamano…
Saudia yapingana na Trump, yasema msimamo wake kuhusu Palestina ni thabiti na hauwezi kubadilika
Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imesisitiza kuwa msimamo wa nchi hiyo kuhusu suala la kuundwa nchi huru…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imesisitiza kuwa msimamo wa nchi hiyo kuhusu suala la kuundwa nchi huru…
Yahya Jammeh Rais wa zamani wa Gambia kurejea kutoka uhamishoni
Yahya Jammeh Rais wa zamani wa Gambia ametangaza kuwa, ana nia ya kuchukua tena udhibiti wa chama chake cha siasa…
Yahya Jammeh Rais wa zamani wa Gambia ametangaza kuwa, ana nia ya kuchukua tena udhibiti wa chama chake cha siasa…