Nabih Berri, Spika wa Bunge la Lebanon amefichua mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kutaka kuiburuza nchi hiyo ya Kiarabu katika mtego wa kuanzisha nayo uhusiano wa kawaida, na kusisitiza kuwa, Lebanon katu haiko tayari kuwa na uhusiano wa aina hiyo na utawala huo.
Related Posts
Watu 54 wauawa na 158 wajeruhiwa katika shambulio la kijeshi sokoni huko Omdurman nchini Sudan
Idadi ya watu waliouawa kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) siku ya…
Idadi ya watu waliouawa kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wapiganaji wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) siku ya…
Mripuko wa homa ya uti wa mgongo waua makumi Nigeria
Watu wasiopungua 26 wameaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo wa ubongo (Meningitis) katika Jimbo la…
Watu wasiopungua 26 wameaga dunia kutokana na mripuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo wa ubongo (Meningitis) katika Jimbo la…
Shirika la Ujasusi la Russia: NATO inapanga kumuondoa madarakani rais wa Ukraine, Zelensky
Shirika la kijeshi la NATO linafikiria kufanikisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky kwa ‘kumchafua’ kabla ya…
Shirika la kijeshi la NATO linafikiria kufanikisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky kwa ‘kumchafua’ kabla ya…