Kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya kambi za Umoja wa Mataifa katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kuuawa wafanyakazi watano wa shirika hilo la kimataifa, makumi ya wafanyakazi wa kimataifa wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Gaza wanaondoka eneo hilo kutokana na wasiwasi wa mashambulizi ya Israel.
Related Posts
Familia ya Bibas yakataa kuwaruhusu mawaziri wa serikali ya Netanyahu kuhudhuria mazishi yake
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa familia ya Shiri Bibas imesema kiongozi yeyote wa serikali ya Benjamin Netanyahu hapaswi…
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa familia ya Shiri Bibas imesema kiongozi yeyote wa serikali ya Benjamin Netanyahu hapaswi…

Hakuna mazungumzo na Kiev baada ya kushambuliwa kwa raia – Putin
Hakuna mazungumzo na Kiev baada ya kushambuliwa kwa raia – PutinRais wa Urusi amelaani mashambulio ya kiholela ya Ukraine na…
Hakuna mazungumzo na Kiev baada ya kushambuliwa kwa raia – PutinRais wa Urusi amelaani mashambulio ya kiholela ya Ukraine na…
Nchi nyingine mwanachama wa NATO inataka kuizungushia ukuta Urusi
Nchi nyingine mwanachama wa NATO inataka kuizungushia ukuta UrusiWaziri wa Sheria Emilie Mehl anasema Norway inaweza kuchukua tahadhari kutoka kwa…
Nchi nyingine mwanachama wa NATO inataka kuizungushia ukuta UrusiWaziri wa Sheria Emilie Mehl anasema Norway inaweza kuchukua tahadhari kutoka kwa…