HAMAS: Uvunjeni mzingiro, komesheni mauaji na hitimisheni kuteswa Wapalestina kwa njaa

Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa taarifa ya kulaani “mauaji ya kutisha” yanayoendelea kufanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuitolea mwito Jamii ya Kimataifa ichukue hatua za kuudhibiti utawala huo dhalimu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *